Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
Sio kisa kimoja kwa kwa matijiri hata facebook yenyewe ilitokea kwenye whatsapp.
miaka ya 90 kampuni ya yahoo ilikuwa ndio namba moja kama unavyo tumia google na JF leo hapa jukwaani.
Mwaka 1998 kutokana kuwa ndio kampuni kubwa tajiri,Google wakati inaanza ilikataliwa kununuliwa na Yahoo kwa kiasi cha dola milioni 1.
Mwaka 2002 Yahoo ikaleta masihala kutaka kununua kwa dau la USD BILIONI 3 wakati google ilitaka kiasi cha USD BILION 5 na kutupilia mbali dau ilo.
mwaka 2008 yahoo ikaja kujichanganya kununuliwa na microsoft kwa dau kiasi cha USD BILION 40.
mwaka 2016 yahoo kutoka microsoft iliuzwa kwa kampuni ya verizon kwa kiasi cha usd bilion 4.6.
Nampa sasa yahoo kama imepotea ?.
kisa hiki sio kimoja tujifunze mfano mdogo kwa waliopo nyuma yetu .
SOMO KWENU JF