Matajiri wa hivyo hufilisika

Matajiri wa hivyo hufilisika

nzalendo

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Posts
12,106
Reaction score
12,916
Kimsingi ukiona mbwembwe zake, unaweza kudhani ni tajiri.
Ukweli ni kwamba yeye si tajiri hana SOLID BASE/
Matajiri hawana TABIA za hivyo(Hovyo).....
Alipata kutokea tajiri mmoja miaka ya sabini mwishoni na themanini mwanzoni,aliitwa 'Taitas' (Mmasai)
Alikuwa anatembea na msafara wa Range Rover, Mercedes Benz na Peugeot 504.
Baadae alikuja kufulia,
Sembuse yeye.
"Time will tell"
 
Kimsingi ukiona mbwembwe zake ,,,unaweza kudhani ni tajiri.
Ukweli ni kwamba yeye si tajiri......hana SOLID BASE/
Matajiri hawana TABIA za hivyo(Hovyo).....
Alipata kutokea tajiri mmoja miaka ya sabini mwishoni na themanini mwanzoni,aliitwa 'Taitas' (Mmasai)
Alikuwa anatembea na msafara wa Range Rover, Mercedes Benz na Peugeot 504.
Baadae alikuja kufulia,
Sembuse yeye....
"Time will tell"
Haumsemi Msukuma hapo?
Emb tuweke wazi, funguka mwanawane.
 
Kimsingi ukiona mbwembwe zake, unaweza kudhani ni tajiri.
Ukweli ni kwamba yeye si tajiri hana SOLID BASE/
Matajiri hawana TABIA za hivyo(Hovyo).....
Alipata kutokea tajiri mmoja miaka ya sabini mwishoni na themanini mwanzoni,aliitwa 'Taitas' (Mmasai)
Alikuwa anatembea na msafara wa Range Rover, Mercedes Benz na Peugeot 504.
Baadae alikuja kufulia,
Sembuse yeye.
"Time will tell"
Ulipotaja mmasai nikakumbuka yule aliyepata utajiri wa madini kwa ghafla, almaarufu askofu, aliokuwa anapanda juu ya ghorofa na kurusha manoti barabarani
 
Sisi wa zamani tajiri yetu alikuwa Juma ngida mango garden, Moro hotel, savoy.
 
Back
Top Bottom