Umeweka wanasiasa waliowaibia ardhi halafu unawataja kama richest duu
Kweli mnahuzunisha
Sent from my SM using Tapatalk
Hahahaha hawarudi tenaAhaaa haaa haaa
Kuna ile wenyewe wanasema, hii ni mwisi yetu. Usiiguse.
Huyo ndio mwenye Royal Media Services inayomiliki CitizenTv na radio, InooroTv na radio na station zingine za radio na t.v karibia kumi. Alafu utaambiwa hajawai badilisha frame ya 'macho nne' yake tangu 1989! [emoji23]huyu wa mwisho hakuiba mali kweli maana hajakaa kiutajiri tajiri
Sasa wanasema Wakenya weusi kwenye list ni wanasiasa yet wanasiasa hapo ni wawili pekee - Uhuru na Odinga. Kitaeleweka tu.😀😀Mpaka sasa wameshindwa kutuletea Watanganyika matajiri, nchi yao maskini inamilikiwa na Waarabu
MK254 yuko bored, haijuwi list ya Watanzania wachakarikaji.How much is RAO worthy? Or having Spectra qualifies him to be in the list of rich people in Kenya? FYI We have several of RAO caliber! It will be better if we give criteria say above $250mln!
Where is Michael Shirima? Where is Anthony Diallo? where is Vicent Lasway? Where is Songoro? Where is Karamagi? Where is late Meleu? Where is Ernest Massawe? Where is Mkono? Where is Bomani?
Sasa wanasema Wakenya weusi kwenye list ni wanasiasa yet wanasiasa hapo ni wawili pekee - Uhuru na Odinga. Kitaeleweka tu.😀😀
Wao walete hata wanasiasa wao, cha msingi hapa tunataja kumi au ishirini bora ndani ya nchi, kwao Waarabu ndio wanaongoza wakifuatwa na Wahindi...yaani Waswahili wanachezea mbali sana, Mchagga Reginald Mengi ndiye kidogo anawapa afueni, wengine wote hukooooo!!!
2018 bado tuaongelea rangi za ngozi za watu, Ukiwa Mtanzania na hauna uraia wa nchi nyingine yoyote, haijalishi una rangi gani ya ngozi una haki zote kama mwananchi wa Tanzania.Wao walete hata wanasiasa wao, cha msingi hapa tunataja kumi au ishirini bora ndani ya nchi, kwao Waarabu ndio wanaongoza wakifuatwa na Wahindi...yaani Waswahili wanachezea mbali sana, Mchagga Reginald Mengi ndiye kidogo anawapa afueni, wengine wote hukooooo!!!
2018 bado tuaongelea rangi za ngozi za watu, Ukiwa Mtanzania na hauna uraia wa nchi nyingine yoyote, haijalishi una rangi gani ya ngozi una haki zote kama mwananchi wa Tanzania.