Wakenya kwa mawazo kama haya mtaendelea kuwa watumwa mpaka mwisho wa dunia. Tanzania itaendelea kuwa moja.
Naona NairobiWalker tuligongana jana kwenye mtandao wa Nairaland.com kajaribu kujizuia kaona aanzishe kabisa uzi humu.
Hebu pitieni uzi huu muone vituko vya wakenya
Kenya Is Ahead of Nigeria In All Aspect (Facts Don't Lie) - Politics (2216) - Nigeria
Unachekesha sana unapotaja neno imiliki wa nchi wakati hapo karibu wote utajiri wao ni kutokana na importation business hawana tangible investment ukitoa baresa, mengi, mo kidogo wengi wao ni waagizaji wa bidhaa au wholesale business hakuna wamiliki Ardhi hapo wala migodi yetu wala resources zetu kama huko Kenya Ardhi yote nzuri ipo kwa foreigners na kidogo kwa wanasiasa.Mpaka sasa wameshindwa kutuletea Watanganyika matajiri, nchi yao maskini inamilikiwa na Waarabu
Hahahaha mkuu ukichengwa kubali. Si wewe husema Kenya ni ya Wazungu lakini ukionyeshwa Tz ni Wahindi na Waarabu unajitetea eti haijalishi rangi... potelea mbali mshienzi. Najua unaipenda Nchi yako lakini ni Nchi bure kabisa.2018 bado tuaongelea rangi za ngozi za watu, Ukiwa Mtanzania na hauna uraia wa nchi nyingine yoyote, haijalishi una rangi gani ya ngozi una haki zote kama mwananchi wa Tanzania.
Pwahaaa nani kanitusi kijana. All Ghanaians, Nigerians and SA appreciate us. Hakuna asiyejua kwa sasa hapa Africa kuwa ninyi ni puppets.Aliyeanzisha uzi humu ni mimi ama wewe? Naona uko frustrated hadi hujielewi. Ni kitambo sana tangu nianzishe uzi humu. I hope umeona jinsi ulivyotusiwa kama mtu aliye na low IQ kule Nairaland. Ulidhani ni JF unapopost vitu vya kipuuzi na unashangiliwa na vilaza wenzako, kila mara kufuata Wakenya ukipost ujinga ule ule - nilikufunza adabu kule naona sasa unaattract vilaza wenzako wakushangilie ukipost upuzi.
On Nairaland, a Ghanaian wondered how someone has to argue with a brainless person like you. I won't take the low route of of doing it. Move along Anal.Pwahaaa nani kanitusi kijana. All Ghanaians, Nigerians and SA appreciate us. Hakuna asiyejua kwa sasa hapa Africa kuwa ninyi ni puppets.
Mnadharaulika sana. Humu kwenye mitandao hakuna nchi Afrika inayowaheshimu. Kama ipo nakutaka uitaje.
On Nairaland, a Ghanaian wondered how someone has to argue with a brainless person like you. I won't take the low route of of doing it. Move along Anal.View attachment 856272
Sasa huyo mkenya naniasiye mjua!?On Nairaland, a Ghanaian wondered how someone has to argue with a brainless person like you. I won't take the low route of of doing it. Move along Anal.View attachment 856272
He hee, wakenya bhana, very insecureWakenya kwa mawazo kama haya mtaendelea kuwa watumwa mpaka mwisho wa dunia. Tanzania itaendelea kuwa moja.
Naona NairobiWalker tuligongana jana kwenye mtandao wa Nairaland.com kajaribu kujizuia kaona aanzishe kabisa uzi humu.
Hebu pitieni uzi huu muone vituko vya wakenya
Kenya Is Ahead of Nigeria In All Aspect (Facts Don't Lie) - Politics (2216) - Nigeria
Wewe unadhani familia ya Jomo iliwezaje kulipa shilingi tano, ada ya mwaka mzima 1906 ya kumpeleka first born wa mke wa tatu Thogoto akafunzwe ufundi? [emoji1]Also did you notice something, apart from land looting politicians.. majority of those so called Kenyan "millionaires" are Gikuyu....
Halafu MK254 NairobiWalker naomba niwaulize... hivi kabla ya uhuru wa Kenya 1964 Jommo Kenyatta na familia yake walikuwa matajiri??
Wewe unadhani familia ya Jomo iliwezaje kulipa shilingi tano, ada ya mwaka mzima 1906 ya kumpeleka first born wa mke wa tatu Thogoto akafunzwe ufundi? [emoji1]
Wazungu wa Kenya wengi sio raia, wamekuja na kujimilikisha ardhi na kufunguwa multinatinal companies. Tofauri sana na raia wa Kitanzania ambao wote wanauraia wa Tanzania tu. Kenya bado ni colony in British eyes and mind.Hahahaha mkuu ukichengwa kubali. Si wewe husema Kenya ni ya Wazungu lakini ukionyeshwa Tz ni Wahindi na Waarabu unajitetea eti haijalishi rangi... potelea mbali mshienzi. Najua unaipenda Nchi yako lakini ni Nchi bure kabisa.
Hivi Nigeria Yule aliko dangote pekee si akina Uhuru kenyata 30 Yaani pesa yake ukiivunjavunja ni wakina Reginald Mengi 30 hivi lol Nmewahi Pitia Nairaland Wakenya mnajitahidi sana kuwadanganya wanigeria kwamba mmeendelea kuliko wao bad thing Ni kwamba Sio kweli hata kidogoHehehe a Tanzanian attempting Nairaland league.....
Hawa tulishawaambia wabaki humu ambapo tumezoea umbumbumbu wao, wakithubutu huko nje watatukanwa sana.
Hivi Nigeria Yule aliko dangote pekee si akina Uhuru kenyata 30 Yaani pesa yake ukiivunjavunja ni wakina Reginald Mengi 30 hivi lol Nmewahi Pitia Nairaland Wakenya mnajitahidi sana kuwadanganya wanigeria kwamba mmeendelea kuliko wao bad thing Ni kwamba Sio kweli hata kidogo