MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,311
- 36,056
wakikupa nistueTupeni hali ya jimbo la Kongwa ikoje
Kwa sasa hali ya wiano wa ajira ni issue kwa tanzania, wizara ya nishati na wizara madini 90% ya watumishi wake wanaongea lugha moja au niseme wametokana na kabila moja. Kuna wakati fulani TISS karibia wote walitokea mkoa wa Tanga,ilileta shida kubwa sana. Mzee Yusuph makamba akiwa Katibu Mkuu wa CCM, makatibu wa CCM mikoa na wilaya nchi nzima walitokea Tanga. Ndugai ulichokisema uko sawa, na ni mara ya kwanza Mh. Ndugai kusifiwa.hakika suala la keki ya taifa linatakiwa kutazamwa upya kwa jicho la kipekee, najua mheshimiwa spika kagusia ajira za ualimu wataanza kufuatilia na kuwe na utaratibu maalumu wa kueleweka, ila hili suala ni pana zaidi kwenye ajira zitolewazo na mamlaka za uteuzi, nadhani hakuna kipindi kigumu kama mamlaka inafanya uteuzi wewe unaitwa tu kwenye hafla kushangilia na kutoa speech nzuri ya kusifia huku watu wako hawana ajira na hawapewi fursa serikalini, ni wakati sasa uteuzi wa viongozi wa kitaifa kuanzia wakuu wa wilaya, majaji, wakuu wa taasisi, idara nyeti, bot, wakurugenzi, ras, das, makatibu wakuu wakatokana na utaratibu maalumu ambao upo wazi yeyote anaweza kupata kulingana na utumishi wake ndani na nje ya serikali na watu waombe nafasi hizo za uteuzi kulingana na uwezo wao na kuwe na sifa zinazotambulika kwa viongozi wa nafasi hizo, mbali na hizo kuna ajira za idara nyeti za serikali kuanzia Tiss, bot ziwe zinatangazwa kwa vigezo maalumu, sio unakuta miaka nenda rudi ni wale wale inasikitisha sana kuona jamii ile ile iliyopo kwenye vyombo vyetu ndo hiyo hiyo inaongoza kwa kuendelea kupachika watu bila kufuata utaratibu maalum
yupo sahihi na sidhani lengo lake lilikuwa kwa walimu ni zaidi ya hapo, kuna namna hizi nafasi haziwezi kuwapata watu fulani hata kama wana uwezo kuliko hao waliopo kwenye mifumo kwq sababu ya kujuana tuKwa sasa hali ya wiano wa ajira ni issue kwa tanzania, wizara ya nishati na wizara madini 90% ya watumishi wake wanaongea lugha moja au niseme wametokana na kabila moja. Kuna wakati fulani TISS karibia wote walitokea mkoa wa Tanga,ilileta shida kubwa sana. Mzee Yusuph makamba akiwa Katibu Mkuu wa CCM, makatibu wa CCM mikoa na wilaya nchi nzima walitokea Tanga. Ndugai ulichokisema uko sawa, na ni mara ya kwanza Mh. Ndugai kusifiwa.
ndo wakati sahihi kwa viongozi kubadilisha mfumo kwa kupendelea watu wa sehemu viongozi wanapotoka badala yake wapewe watu kutokana na sifa stahiki, utumishi uwe wa wote sio wa kikundi fulaniNimemuona akiongelea hill bungeni lakin sijamuelewa kabisa!??
Nahisi kama amelalamikia kuna dalili za watu kutoka kanda Fulani wanapendelewa kwenye baadhi ya ajira nahisi alilenga kusema baadhi ya maeneo kwa kweli nimeshangaa saana
hapana kaweka msingi na kwa level ya ndugai lazima atapeleka kwa waziri mkuu na raisi ili kubadilisha mfumo wa kuajiri ndani ya serikali, keki ya taifa iwe ni ta wote, kuanzia utumishi kitengo cha ajira, teuzi mbaliii mbali, na maeneo yote.... kuwe na sifa maalumu na watu wenye uwezo ndo wapate hizo nafasi.Watu wanazungumza ili wasikike si waeleweke.
ni kweli kabisa kuna kipindi cha mzee watu wa kanda ya ziwa walijazwa sana kwenye taasisi nyeti mpka kwenye mawizara na kila eneo wakaneemeka sasa hivyo mpka lini?? mabadiliko ni muhimuMhe. Ndugai amenena jambo la muhimu sana kwa Taifa letu, jambo ambalo wengi walilifumbia macho lkn lina hatarisha umoja wa taifa letu nalo ni mgawanyo wa ajira na nafasi za uteuzi serikalini ulio sawia na wa haki, kimaeneo na hata kiimani, sio sahihi kujaza ktk utumishi wa umma watu wa aina mmoja halafu wengine wengi wakatupwa nje, hilo sio sahihi kabisa kwa ustawi na uzalendo wa taifa letu, lazima jambo hilo.litazamwe kwa kuzingatia sifa, usawa wa maeneo na hata usawa wa imani zote kushiriki ktk ujenzi wa taifa lao utaleta na kuimarisha uzalendo.
Iko shaka, mbona spika amekuwa hivyo awamu hii. Ana bifu na mtu au anataka kujisafisha kutokana na kutotenda ipasavyo kipindi cha mwendazake?Ikiwa ufuatiliaji huo ni kwania njema ya dhati ya moyo wake na ikiwa lengo ni kuiunga mkono awamu ya sita,itakuwa ni jambo jema sana.
Angeshazikwa kitamboAngevuliwa u spika
na zinazopatikana zizingatie vigezo sio connectionTatizo la Kazi nchini TZ ni Mtambuka.
Ninashauri ,katiba mpya ipatikane, spika,naibu spika, jaji mkuu, IGP na wengine, waanze nao kinyang'anyiro cha kufanya interview. Hizi teuzi hizi, tumeanza kuona matatizo yake.Angekuwa Spika akili kubwa angeliketisha bunge lifiriki,lishauri na kusimamia serikali namna ya kuondoa tatizo la ajira nchini.
Binafsi Sijaona "uspika " ktk kauli yake, fikiria walioomba ajira ni 120000 wanaotakiwa ni 6000,hao 114000 wataenda Wapi? Hiyo ndio ilipaswa kuwa hoja inayofaa mbunge /Spika.
Watanzania tuache umbumbumbu wa kufikiri, tatizo la nchi ni ajira hakuna, likitatuliwa hilo hatutakuja kujiuliza huyu ni kabila gani gani na yule ni kabila gani ameajiriwa.