Matalii akijisaidia mbugani huku Simba akimnyemelea

Matalii akijisaidia mbugani huku Simba akimnyemelea

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2009
Posts
5,471
Reaction score
752
image001.jpg
 
Hilo ni Tangazo la Biashara El Toro

If she hasn't ... she will soon
 
Yaelekea hata huyo Simba anashindwa kuelewa huyo ni mnyama wa aina gani swala si swala, pofu si pofu nadhani ndicho kinamchelewesha kumvamia otherwise hata hii picha isingepigwa!!! Nice one!!
 
Teh, teh, teh, huyo simba jike hawezi mdhuru jike mwenzake.
 
Yaelekea hata huyo Simba anashindwa kuelewa huyo ni mnyama wa aina gani swala si swala, pofu si pofu nadhani ndicho kinamchelewesha kumvamia otherwise hata hii picha isingepigwa!!! Nice one!!

Harufu ya mimavi ndio vinamchanganya zaidi huyo Simba maana hapo pizza na mapilipili kibomu kitupu
 
Kwa wanojua tabia za wanyama watakubaliana nami kuwa simba ni mnyama mdadisi sana pengine kushinda wanyama wote.Na katika hali kama hiyo ukiondoa walivyosema baadhi kuwa hili ni tangazo,inaonesha kuwa simba huyo hana lengo na mtu huyo ila anajiuliza huyu ni kiumbe gani na anafanya nini?Na kama mtu huyo atakaa hivyohivyo basi simba huyo atamtazama tu bila kumfanya chochote ila akiinuka tu kukimbia basi hilo litakuwa ni kosa kubwa sana maana ndio atakuwa amegeuka toka kiumbe kisichofahamika na kuwa kitoweo.
 
Kwa wanojua tabia za wanyama watakubaliana nami kuwa simba ni mnyama mdadisi sana pengine kushinda wanyama wote.Na katika hali kama hiyo ukiondoa walivyosemaa baadhi kuwa hili ni tangazo,inaonesha kuwa simba huyo hana lengo na mtu huyo ila anajiuliza huyu ni kiumbe gani na anafanya nini?Na kama mtu huyo atakaa hivyihivyo basi simba huyo atamtazama tu bila kumfanya chochote ila akiinuka tu kukimbia basi hilo ni kosa maana ndio atakuwa amegeuka toka kiumbe kisichofahamika na kuwa kitoweo.
naam there you are!
 
Kwa wanojua tabia za wanyama watakubaliana nami kuwa simba ni mnyama mdadisi sana pengine kushinda wanyama wote.Na katika hali kama hiyo ukiondoa walivyosema baadhi kuwa hili ni tangazo,inaonesha kuwa simba huyo hana lengo na mtu huyo ila anajiuliza huyu ni kiumbe gani na anafanya nini?Na kama mtu huyo atakaa hivyohivyo basi simba huyo atamtazama tu bila kumfanya chochote ila akiinuka tu kukimbia basi hilo litakuwa ni kosa kubwa sana maana ndio atakuwa amegeuka toka kiumbe kisichofahamika na kuwa kitoweo.

ni kweli nyau,kwanza simba huwa hana papara.
 
sasa basi nyie waoga ndio unakua walengwa wenyewe,malaika huwa hapendi wale washarp.
 
sasa basi nyie waoga ndio unakua walengwa wenyewe,malaika huwa hapendi wale washarp.

Sawa...,naona na mimi nitapitia huko nione kama labda mimi ndio shetani na wewe ndio mbuyu wangu,si wanasemaga kila shetani na mbuyu wake au sivyo?
 
fotoshopu bana, yaani kwao simba kuna ukameeeee afu kwa uyu mama kijaniiiii, wizi!!
 
Back
Top Bottom