Matamanio ya mwili

Matamanio ya mwili

Fidel80

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2008
Posts
21,947
Reaction score
4,470

Kwa mwanaume wadau wanasema ni kawaida kutamani kwanza kisha anapenda baadae kutokana na huduma atakazo pata na kufrahisha moyo wake lakini kwa wenzetu akina dada wao wanapenda moja kwa moja bila kutamani.
 
Kitu kama hii mwanaume yeyote rijali lazima ageuke angalau ashangae tu, hata kama kaongozana na mpenzi wake lazima akate shingo
 
oooooooooooooooops Fidel umeamkaje leo
naona huo mzigo unatisha kaumbo na rangi pia ,
Nitarudi baadae
 
Fidel180 unajihatarisha sana kwa kukata shingo kuangalia warembo, mkeo akiwa mtu wa KURE KWETU anaweza akakugecha
 
nadhani kutamani ni kwa kila mtu!sema tu inategemea unajizuia vpi,tusiongelee uwingi lkn mm kama mdada pia natamani,unaweza kumtamani mtu kwa muonekano wake,utanashat wake,uongeaji wake,uelewa wake,mali zake alizonazo,tabasam lake,uchafu wake,upole wake etc lakini maadili yangu hayaniruhusu kumwambia langu la moyoni labda nikivuka mipaka sana ntamwambia kaka umependeza lkn siwezi kusema kaka nakupenda,sasa mtu kama huyu akinitokea tu atapata chenga ndogo tu labda mwezi maana tayari na mm nina nterest zangu kwakwe.
 
wimeni ara soo wiki
 
not so wiki dear its only kwamba it cant be vise versa aza wise i dont think mngeweza kukataa hata mwezi mmoja!

Hayo ndo matamanio ya mwili akija mtu ambae ndo target yako basi ni rahisi kwake au?
 
nadhani kutamani ni kwa kila mtu!sema tu inategemea unajizuia vpi,tusiongelee uwingi lkn mm kama mdada pia natamani,unaweza kumtamani mtu kwa muonekano wake,utanashat wake,uongeaji wake,uelewa wake,mali zake alizonazo,tabasam lake,uchafu wake,upole wake etc lakini maadili yangu hayaniruhusu kumwambia langu la moyoni labda nikivuka mipaka sana ntamwambia kaka umependeza lkn siwezi kusema kaka nakupenda,sasa mtu kama huyu akinitokea tu atapata chenga ndogo tu labda mwezi maana tayari na mm nina nterest zangu kwakwe.

hata huo mwezi, Pearl bado mrefu sana,
hebu punguza tena kidogo!!!!!!!
 
tila tuongee ukweli, ukikutana na mwanamke ukishaiona reception lazima utataka uone uani pakoje then unatoa maksi kimoyo moyo..! siitaji maswali nawasilisha
 
Back
Top Bottom