Tetesi: MATAMKO YAMEPUNGUA

Tetesi: MATAMKO YAMEPUNGUA

Qunax

Senior Member
Joined
Oct 16, 2016
Posts
100
Reaction score
127
Kila week kulikuwa na tamko jipya katiza wizara flan naona ugonjwa wa zika kidogo umetuliza upepo.Anaogopa kupata Zika[emoji1] [emoji2] [emoji3]
 
Ndalichako naye kimya wanajipanga mwakani wakimaliza yote mwakani awatakuwa na jipya
 
Hofu ya kwenda x-mas na barua imewatuliza kidogo.. ila kiboko yao walikuwa Ndugu Ka-telephone na Le Profesee Ndalii changu yaani siku kupita bila ya tamko nadhani midomo yao ilikuwa ikiwasha
 
Back
Top Bottom