Matamshi ya neno "Phoenix"

Pastory Kimaryo

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2018
Posts
967
Reaction score
668
Kiukwel tangu zama za baiskeli za Phoenix hadi leo kwenye browser ya Phoenix nilikuwa bado natamka "foneksi" badala ya "finaksi" au "fineksi" kwa baadhi ya watumiaji wengine wa English.

Na Phoenix ni ndege wa maajabu kulingana na urban dictionary

phoenix
[fēniks]

NOUN
(in classical mythology) a unique bird that lived for five or six centuries in the Arabian desert, after this time burning itself on a funeral pyre and rising from the ashes with renewed youth to live through another cycle.

a person or thing regarded as uniquely remarkable in some respect.
 

/ˈfiːnɪks/
Nadhani tulikuwa hatuelewani katika utamkaji inatamkwa "fineksi" kwa kiswahili lakin kwa wqnaojua kutumia hizo alama ndio iko hivyo /ˈfiːnɪks/ lakini inatamkwa "fineksi" kwa wanotaka kuhakiki waende google waulize maana ya neno hilo then wabonyeze kile kispika wasikilize inavyotamkwa.
Hiyo image chini hapo ni screenshot from Google's Oxford languages na ndio niliposikiliza hilo neno. View attachment 1720637
 
...mambo ya phonology hayo!!

Umeshangazwa kama mimi nilivoshangazwa jana na mwanangu kanipronouncia pleasant tofauti na nilivyokuwa naitamka milele yote tukabishana sana, mwisho hakimu akawa internet duh aibu nimeona mimi

Mimi nilikuwa natamka plizant
Yeye anapatia anasema plezent nilikoma.
 
Umeona ee, hiz lugha za wenyewe 😂😂😂
 
Matamshi sahihi ni "fiiniksi". Ukitaka kumuona huyu ndege, tafuta baiskeli zile za Phoenix especially usukumani zipo nyingi sana, picha yake ipo kwenye ile frame ya baiskeli
 
Umeona ee, hiz lugha za wenyewe 😂😂😂
 
Matamshi sahihi ni "fiiniksi". Ukitaka kumuona huyu ndege, tafuta baiskeli zile za Phoenix especially usukumani zipo nyingi sana, picha yake ipo kwenye ile frame ya baiskeli
Ukishasikiliza hiyo pronunciation lete mrejesho, usije kuobject kabla hujasikiliza hiyo pronunciation plz!
 
Foneksi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…