Uchaguzi 2020 Matamshi ya Tundu Lissu kuhusu mgombea Urais yaleta mtafaruku mkubwa UKAWA

Mmeshaanza kumhofia Lissu mapema ivo, mbaya zaid mgombea wenu kwasasa watanzania wamesha mshitukia ndiyo mana hawamtaki kabisa, Alafu levo ya Lissu kisiasa ni kubwa mno, jiwe hana uwezo hata kiduchu wakupambana na Lissu kama uchaguzi ukiwa huru na haki
 
Kwa nini mnateseka?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nimruliza swali kwa nini hasubiri tafiti za chama chake zitamke nani anafaa badala ya kujipigia tarumbeta barabarani wakati anajua taratibu za chama chake ambazo yeye mwenyewe alizifafanua wakati wa Lowassa alipokuwa akiingia , kuwa nani awe mgombea Chadema haikurupuki hufanya tafiti kwanza kama chama.
 
..Lissu amesema atagombea ikiwa chama chake kitamteua.
.
Kwa hiyo Lisu UKAWA haitambui sababu chadema ni sehemu ya UKAWA na UKAWA ndio ambao huteua mgombea uraisi sio Kila chama peke yake.Anaposema Chama chake kikimteua ina maana UKAWA ni hopeless na useless hauna mamlaka ya kumchagua mgombea Uraisi.Angesema UKAWA wakinipendekeza sawa.Lakini anaonyesha wazi hana adabu kwa UKAWA na haitambui kwenye mchakato wa mgombea uraisi anatambua chama chake tu
 
Utafiti hauondoi kutangaza nia !!. Tatizo huko CCM mmeuona u Rais kama umungumtu wa mambo kufanyika sirini kama wachawi.

Pili wajua kuwa Lissu anao uwezo kulinganisha na wagombea wengine. Sema hapa Tz hakuna uchaguzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 

..inabidi apate baraka za chama chake kwanza kabla ya kukubaliwa na ukawa.
 
Utafiti hauondoi kutangaza nia !!. ]
Kuna tatizo Moja yeye ni kiongozi wa juu wa chadema anayejua taratibu hivyo akakiuka pili yeye kama kiongozi wa juu wa chadema ni mmoja wa watakaopokea hiyo Ripoti ya utafiti huoni kuwa hizo kelele zake ni kwa ajili ya Ku influence hizo tafiti zisiwe huru and fair kwa kijitangaza kwake na kujipigia debe?
 
Sasa wewe mkuu inakuhusu nini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika Interview Yake BBC Swahili Na Zuhura Yunus, Alipoulizwa Kuhusu Kutangaza Nia Alisema Kwamba, Nanukuu;
"Kama Chama Changu Pamoja Na Vyama Tunavyoshirikiana Navyo Na Watanzania Wanaotuunga Mkono Watasema Kwamba Mimi Nafaa Kuwakilisha Chama Changu Pamoja Na Vyama Vingine Ambavyo Tunashirikiana Navyo, Nipo Tayari Kufanya Hivyo."

Mwisho Wa Kunukuu!
 
Another crap from a polical prostitute.
 
Yani kuanzia jiwe hadi hivi vikaragosi vyake vinamnahofia lisu.
 

Nya inagonga pichu...
 
Sio ndio anawa kumbusha wafanye Utafiti?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Pole mkuu kwa kusumbuliwa na 'homa Lissu'. Maumivu yakizidi, sifu na kuabudu Jiwe!
 
Kashawawai na watake wasitake atawakoroga tu
 
Huyu "mwehu" wenu mlifanya utafiti lini hadi mkalisababishia janga Taifa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hebu tupe source ya taarifa yako, la sivyo jiandae kuvaa dela kumsubiri baba watoto wako aje kukushuhulikia
 
Huyu "mwehu" wenu mlifanya utafiti lini hadi mkalisababishia janga Taifa?

Sent using Jamii Forums mobile app
pole ndugu, kwanza uwe unachukua hatua ya kujifunza na kuwa na uelewa na kitu unachotaka kukizungumza, vinginevyo unaonekana kituko, maana hujui tume ya uchaguzi inashughulika na chaguzi gani? hebu tafuta katiba itakusaidia. no research zip up your mouth
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…