Matangazo (ads) Facebook, Instagram hayataki picha

Matangazo (ads) Facebook, Instagram hayataki picha

kokudo

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2010
Posts
2,571
Reaction score
1,760
Mimi ni mfanyabiashara wa nguo za ndani (chupi). Nimejaribu kufanya ads Facebook na Instagram wamegoma ku-approve kisa policy zao haziruhusu hata picha ya chupi duh..

Sasa nimeshindwa niliandaaje hilo tangazo la bila picha.
 
Hii pia mpya kwangu!!!chupi hawataki ila condoms wanakubali au...Unatangaza ktk paid adverts???
Mimi ni mfanya biashara wa nguo za ndani (chupi) Nimejaribu kufanya ads Fb na Insta wamegoma ku approve Kisa policy zao haziruhusu hata picha ya chupi duh

Sasa nimeshindwa niliandaaje hilo tangazo la bira Picha
 
Hawaruhusu picha za chupi au picha za msichana anayeonekana amevaa mavazi ya namna hiyo.

Suluhisho: Usitangaze bidhaa/huduma tangaza utatuzi wa matatizo ya wateja wako.
 
Hawaruhusu picha za chupi au picha za msichana anayeonekana amevaa mavazi ya namna hiyo.

Suluhisho: Usitangaze bidhaa/huduma tangaza utatuzi wa matatizo ya wateja wako.
Ungefafanua Dr au mpka nilipie
 
Nitaisikiliza tena na tena ili nielewe zaidi
 
Mimi ni mfanyabiashara wa nguo za ndani (chupi). Nimejaribu kufanya ads Facebook na Instagram wamegoma ku-approve kisa policy zao haziruhusu hata picha ya chupi duh..

Sasa nimeshindwa niliandaaje hilo tangazo la bila picha.
Aysee!
 
Kati ya sheria za kuweka tangazo facebook ni kutokiweka picha yenye mlengo wa utupu, nadhani jaribu kutafuta picha ambayo haioneshi maungo ya mwili, pia zingatia miaka unapo target tangazo lako kama Chupi inafaa zionwe na watu wazima tu 18+, na vizuri kama itakua kwa wanawake pekee kama ni zakike.
Shida kubwa inaweza kuwa kutarget watazamaji kama picha ilikua yakawaida, angalia email yako pia Facebook wanatoa feedback kwanini wamekataza tangazo.

Unaweza kukata rufaa pia au kuuliza kwanini hawa approve tangazo lako. Watu wanaotangaza nguo za ndani ni wahanga wakubwa kwa matangazo yao kitolewa au kutokuwa approved, point ya Facebook nikwamba matangazo yasimchukue mtu hisi tofauti na mlengo wahilo tangazo.
Screenshot_20191025-130208.jpeg
 
Back
Top Bottom