Mimi ni mfanya biashara wa nguo za ndani (chupi) Nimejaribu kufanya ads Fb na Insta wamegoma ku approve Kisa policy zao haziruhusu hata picha ya chupi duh
Sasa nimeshindwa niliandaaje hilo tangazo la bira Picha
Unamlenga nani na unatatua tatizo gani?Ungefafanua Dr au mpka nilipie
Angalia na hii video. Utanielewa zaidi.Ungefafanua Dr au mpka nilipie
Aysee!Mimi ni mfanyabiashara wa nguo za ndani (chupi). Nimejaribu kufanya ads Facebook na Instagram wamegoma ku-approve kisa policy zao haziruhusu hata picha ya chupi duh..
Sasa nimeshindwa niliandaaje hilo tangazo la bila picha.
Kati ya sheria za kuweka tangazo facebook ni kutokiweka picha yenye mlengo wa utupu, nadhani jaribu kutafuta picha ambayo haioneshi maungo ya mwili, pia zingatia miaka unapo target tangazo lako kama Chupi inafaa zionwe na watu wazima tu 18+, na vizuri kama itakua kwa wanawake pekee kama ni zakike.Mimi ni mfanyabiashara wa nguo za ndani (chupi). Nimejaribu kufanya ads Facebook na Instagram wamegoma ku-approve kisa policy zao haziruhusu hata picha ya chupi duh..
Sasa nimeshindwa niliandaaje hilo tangazo la bila picha.