NgomaNzito
JF-Expert Member
- Jan 10, 2008
- 559
- 28
Mimi naona yanasaidia sana awareness hasa ya wazee wamelo kama fataki...ma binti wawe makini sana maana mafatakiwamezidi...na nawaasa sanadada zetu wasiwe na tamaa yavitu vidogo vidogo kama simu,vocha,nguo etc...wajitahidi sana kuepuka vishawishi.
Ni kweli hawawezi kukwepa,maana siku hizi chips,vocha na lift vimewakaa sana kichwaniwatoto wa kike.
Ukizaa mtoto wa kike siku hizi akikua tu ukae nae haswa mambo ya ubize uyasahau la sivyo utakuta Fataki kamaliza kazi na kaacha ukimwi.
Kuna haya matangazo ya Bwana Fataki yanaelekea yanadhalilisha kuna lingine linasema unaweza kumnunulia kabinti chips na soda kazi kwisha na lile lingine fataki anaambiwa akimnunulia gagulo la mtumba ni tosha kumpata mtoto yaelekea Fataki ni baab kubwa kwenye masuala ya mahusiano au nyie mwaonaje?
KATABAZI KATABAZI, ukizaa mtoto wa kuime usilemae, mafataki wako wengi tena hata wa KIKE vivulana vidogo vinatongozwa ni balaa, KEEP YOUR EYEZ OPEN.
mugabe ana miaka 86 mke wake ana miaka 46, kawawa ana mika 82 mke wake ana miaka 39 na malecela ana miaka 80 mke wake ana miaka 44 !!!! Je na hao pia ni mafataki?
Kawawa inafaa ashitakiwe kwa sheria za Tanzania, 82-39 = 41 amemzidi mkewe kwa miaka 41.Mugabe ana miaka 86 mke wake ana miaka 46, kawawa ana mika 82 mke wake ana miaka 39 na malecela ana miaka 80 mke wake ana miaka 44 !!!! Je na hao pia ni MAFATAKI?
Kawawa inafaa ashitakiwe kwa sheria za Tanzania, 82-39 = 41 amemzidi mkewe kwa miaka 41.