Karibuni wadau katika uzi huu kwa ajili ya kuweka matangazo mbalimbali juu ya huduma, bidhaa au mahitaji yoyote na atakayevutiwa na tangazo lako basi bila shaka mnaweza kumalizana!
Naanza na langu, Kwa mahitaji ya panya wa kuchoma, kukaanga au kuchemsha njoo pm!
Pia nauza magimbi yakuchoma, simu nzuri kutoka marekani hazina betri na haziwaki, kunguru wa kurosti na supu ya mamba!
Meli za kisasa na ndege aina zote kama bombadier, concord na treni!
Pia yapo majeneza yaliyotumika utadhani mapya...karibuni!