Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 17,048
- 22,790
Nimeona kama vile makampuni ya kutengeza matangazo ya TV bado hayajapata wataalamu wazuri. Matangazo mengi ya biashara kwenye TV huwa ya kupayuka sana tena kwa sauti za juu sana inabidi mtu upunguze volume.
Je, wenzangu mnayaonaje; je yanafikisha ujumbe kweli au yanahitajui kuboreshiwa ziaidi?
Je, wenzangu mnayaonaje; je yanafikisha ujumbe kweli au yanahitajui kuboreshiwa ziaidi?