NI mtu huyohuyo nchi nzima hata ukienda Mbinga kule ziwani utamsikia ni huyohuyoHabari wana jamii!
Ukiwa unapita kariakoo utasikia matangazo ya biashara mengi yaliyo rekodiwa na mara nyingi huwa yanafanana sauti Kana kwamba ni mtu mmoja ama yawezekana kuwa ni mtu mmoja.
Ni wapi naweza kupata mtu ama office inayofanya shughuli hizo za utamgazaji wa biashara kwa njia ya sauti?
Inategemea unataka tangazo liweje na unabudget gani ya kurekodiwa tangazo lako!!!Habari wana jamii!