Kama ningekuwa mtoto, na ningeambiwa kwa kunywa maziwa ya kampuni ya Anando nitapata nguvu za kuweza kuhamisha maghorofa kadhaa ya jengo, hakika ningeamini.
Tangazo konki sana hili
Tangazo hili la kusisitiza umuhimu wa kufunga mkanda wa usalama unapokaa kwenye kiti cha nyuma cha gari, jamaa aliye buni ni bonge la genius kama Extrovert
Mchezo wa vitofali wa Lego, mlioucheza mnaufaidi. Ujumbe kwenye tangazo ni "growing up" umewakilishwa kiubunifu Sana, kwamba hautokuwa hivyo daima milele, lazima ukue