ahahaaaaaaaaaaaaaa, jamaa bado wanajitangaza???? hii ajabu sasa, hata wenye dola wanajitangaza je wasingekuwa na dola ingekuaje, asante Mungu, naona machozi ya wenye taabu katika nchi yao yameanza kuzaa matunda-----ccm lazima watambue kuwa Tanzania sio mali yao, wenye nayo ni Watanzania tu, wao watapita njia kama wengine walivopita kwenye nchi zao----vilikuepo KANU, LABOUR, MCP, viko wapi sasa, so ccm wajue kuwa nao kuna siku tutakizika tu wapende wasipende, no body stays on top forever even an empire collapses, there's no eternity on earth, ndio maana tunambiwa Adamu naye alikufa though ndiye mtu wa kwanza kuumbwa na Mungu wetu wa mbinguni