kuna matangazo mawili hivi redioni na tv
nikisikia tu linaanza nabadili stesheni
kwanini niharibu siku yangu kwa kuboreka?? 1.tangazo la yule m-baba wa zain dk 1 anatembea km ana tege ivi(jina limetoka)
2.ccm
hilo linataka kunifanya nihame mtandao kabisa, hm wanjua watoto wakula timing likianza tu watoa afu wacheka kinoma!!! huyu mi nam-asociate na chama cha siasa
@ magezi u are right, haisaidii kuchukia adverts, lakini hatujachagua kuchukia imekuja tu involuntarily