Matangazo ya Cocacola kwenye TV

Yani we ki.laza kweli unajua maana ya mtu kua "curious"???
Kama huna uhakika kaa kimya!
Curious is adjective word.
The means is eager to know or
Learn something.

Maana yake ni shauku ya kujua
Au kujifunza kitu fulani.

Hili neno nimelielewa vilivyo
Ila kwa huu Uzi hakumaanisha hivyo

Lugha hubadilika kutokana na mazingira.

Usipaniki mkuu.
We pita tu
Stop shobo.

[emoji16] [emoji16] [emoji95] [emoji379]

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
 

Wewe acha kujivua nguo
wewe ulikua kichwani kwangu hadi useme sikumaanisha neno lipi nitumie?
unajivua nguo kwa umbumbumbu hapa
 
Nyie ndo wale mlivokua shule mlikua mnajibu jibu maswali ila necta mnataga.
Mtoa mada yupo 'curious' we unalazimisha awe 'serious'.
 
Nyie ndo wale mlivokua shule mlikua mnajibu jibu maswali ila necta mnataga.
Mtoa mada yupo 'curious' we unalazimisha awe 'serious'.
Bahati nzuri sijasoma sekondari.
Nimesoma la saba mwisho.

But am very creative in English language better than you my bwoy.
 
Aaafff lile Tangazo, ni Kwa Nchi zote zilizofikiwaa na Bidhaaa ya Coca-Cola, Angalia Hata Channel za Nje ya Tz,
 
Watu wa branding wanaelewa wanachokifanya coke ni kuhakikisha wao ni brand namba 1 ya vinywaji hivyo. Kufanikiwa hilo ni pamoja na kutengeza mtazamo kwa watumiaji na wasio watumiaji na ndio hivyo matangazo haswaa. Kuna uhusiano mkubwa wa top brands na advert budget. Angalia orodha ya wavunja bank kimatangazo na brand rank zao. Cocacola ni brand ya 4 kwa umaarufu lakini ya 7 kwa gharama za matangazo.

The top 10 advertising budgets for 2016 are as follows:

  1. Pampers - $8.3bn (Ranked 50th most valuable brand)
  2. Gillette - $8.3bn (28th)
  3. L’Oreal - $8.2bn (34th)
  4. Chevrolet - $5.1bn (59th)
  5. Louis Vuitton - $4.4bn (19th)
  6. Ford - $4.3bn (35th)
  7. Coca-Cola - $4bn (4th)
  8. Amazon - $3.8bn (12th)
  9. Sony - $3.7bn (76th)
  10. AT&T - $3.6bn (13th)
  11. Lexus - $3.6bn (63rd)
  12. Toyota - $3.6bn (6th)
  13. Samsung - $3.3bn (11th)
  14. NIKE - $3.2bn (18th)
  15. Google - $3.2bn (2nd)
  16. American Express - $3.1bn (24th)
  17. T-Mobile - $2.9bn (93rd)
  18. Nissan - $2.8bn (70th)
  19. Verizon - $2.7bn (21st)
  20. Chase - $2.7bn (65th)
 


Ajabu kwenye orodha yako sioni no 1 hadi 3 brand

halafu anaetumia hela nyingi ni no 50?
duh
 
Ajabu kwenye orodha yako sioni no 1 hadi 3 brand

halafu anaetumia hela nyingi ni no 50?
duh
No 3 yupo ni google, namba 2 ni samsung pia yupo. Anaekosa hapo ni no 1 ambao ni Apple nadhani falsafa yao haipo kwenye kujitangaza.
 
No 3 yupo ni google, namba 2 ni samsung pia yupo. Anaekosa hapo ni no 1 ambao ni Apple nadhani falsafa yao haipo kwenye kujitangaza.


Wakati fulani hata coke waliwahi kuwa namba moja

na Nike pia..na MCdonald
 
Coca-Cola one of the world's famous brands...nadhani the most famous actually, nchi yoyote utakuta hiki kinywaji...wanatoa patent kwa bottling companies nyingi sana duniani lakini swala la marketing, flavor na standard ya vinywaji ni uniform dunia nzima..ndo mana tangazo la Marekani na bongo unaangalia na unalielewa, Marketing haijatoka kwa Coca-Cola Company wenyewe wale wa Atlanta Us,huko soda hii ilipoanzia
Mfano bongo utaona kuna kiwanda cha mengi moshi,cha gachuma mwanza na mikocheni alichouza mengi, ni kampuni tofauti zinazotengeneza kinywaji kimoja...technique na policy za marketing ni uniform zikiongozwa na wenye brand wenyewe, yani wale waliowapa hawa wabongo formula nk kutengeneza hizo soda zao..ishu ya bajeti yao usipimee...
 
Mhh hawa Pepsi nao naona biashara imewawia vigumu..nani ufungue kampuni akupe patent/trademark faida ule na matangazo akulipie??tafakari
 


Mfano je hapa TZ Gachuma na Mengi na huyo mwingine wana share strategies?
na bajeti ya matangazo?
 
Mfano je hapa TZ Gachuma na Mengi na huyo mwingine wana share strategies?
na bajeti ya matangazo?
Yawezekana kila mtu anachangia gharama kwa Coca-Cola Company wenyewe afu jamaa wanapata hela ndefu wanaongezea na wao then wanatoa matangazo haya kila saa
Pia saivi ni msimu wa joto ndo msimu wa vinywaji baridi,hamna hasara wao kutangaza kwa wingi, soda inajiuza yenyewe
Mbinde kipindi cha baridi na mvua utawaonea huruma, hata focus ya matangazo ni ndogo
Mvua inanyesha na soda wapi na wapii...
Na tunavoelekea sikukuu ndo kabisaa bila soda shughuli hazijakamilika majumbani, ndo msimu wao huu wanawakoleza muiweke bidhaa akilini muda wote...
Kuna mdau amesema Coke wanairelate sana na 'happy feelings' au maisha flan hv mazuri ambayo kila mtu regardless umri anapenda
 
Voda ni mtandao wa kuaminika kwa mikoani na internet ndo maana
wana jeuri ya kupandisha gharama
Ofcz Voda mikoani watu huwaambii kitu,na huko hawajui hata habar za vifurushi wao wanaweka credit tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…