mavado
JF-Expert Member
- Jun 25, 2014
- 1,153
- 798
Hello wakuu, naomba kuuliza hivi mbona siku za hivi karibuni matangazo redioni ya kupima na kuanza kutumia ARVs mapema yamekuwa mengi sana na haipiti sekunde, tangazo hilo hapo, mbaya zaidi kwa hisani ya watu Marekani, kwanini isiwe Uchina au Japan.
Something not right.
Something not right.