Matangazo ya LIVE kusherehekea ushindi wa ZAMBIA kupia Muv TV Africa Unit pamoja na MTN

Matangazo ya LIVE kusherehekea ushindi wa ZAMBIA kupia Muv TV Africa Unit pamoja na MTN

Kennedy

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2011
Posts
54,894
Reaction score
64,043
Wananchi wa ZAMBIA wanasherehekea ushindi katika viwanja vya wazi,wale wenye nafasi wanaweza kutazama. Underdog ZAMBIA imeweza kumuuwa TEMBO kwa kutumia CHIPOLOPOLO au risasi. Wengi walioishangilia zambia walikuwa na imani nayo bila kujali nini kitatokea.Hureee CHIPOLOPOLO! Mweene anasema kwa kujiamini walistahiri kikombe hicho na ndiyo ukweli wenyewe.Mara timu itakapowasili watakuwa live.
 
kweli wameweza maana hata hao wakina drogba hawakuamini matokeo.hongera sana chipolopolo
 
Back
Top Bottom