Kennedy
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 54,894
- 64,043
Ama kwa hakika ushindi ni mtamu sana,wale wenye mapenzi ya dhati na si ya dharura kama wakati una nafasi ya kuangalia hiyo tv. Kuna viwanja zambia wananchi wanafurahia ushindi kwa furaha na nderemo. ZAMBIA underdog kwakweli wameonyesha matarajio ya wengi,walioishabikia walikuwa na imani nayo.