Matangazo ya masomo kwa vyuo mbalimbali

Abu_yazid

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2014
Posts
3,435
Reaction score
4,245
kiukweli hizi website za vyuo mnatutesa sana wenye simu za kawaida na tusokuwa na pc kwa maana kila tangazo la maana kama ada, taratibu za kujiunga na chuo, sheria vyote hivi vipo katika mfumo wa pdf files, tunakosa kufuatilia mambo ya muhimu kwa haraka sababu ya hili jambo
 
pole bro.. jitahidi upate acess hata kwa jirani... ila nadhan pdf ndo mfumo unaorahisisha uwekaji wa document kwenye mtandao
 
Download pdf app uwe unazifungua kwenye cm yako
 
Download pdf app uwe unazifungua kwenye cm yako

kama cjaelewa vzuri mkuu.,,mfano mi nna nokia asha xo hyo app inaweza kuingia kwenye cmu yangu na nnaipataje hyo app mxaada plz
 
kama cjaelewa vzuri mkuu.,,mfano mi nna nokia asha xo hyo app inaweza kuingia kwenye cmu yangu na nnaipataje hyo app mxaada plz

Mkuu nenda Play store andika Pdf zitakuja app kibao za kudownload Pdf files then instal ktk simu yako. Documents zote za Pdf utaweza kusoma na kureview za zamani kwa kukilick pdf app ktk cm yako au storage then documents.

Pia kuna hii app ya WPS Office iko Play store inafungua kila document uki install.

Kuhusu uwezo wa simu yako sifahamu mkuu make IT ilinipita kushoto. Ila kama ni Android ina uwezo huo.

Jaribu ndg
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…