Matangazo ya mpira bongo yako hovyo sana

homboyz

Senior Member
Joined
Oct 19, 2016
Posts
127
Reaction score
139
Kwa siku kadhaa nimekuwa bize kiasi cha kuishia kusikiliza mechi mpila kwenye radio
Kiukweli nimekuwa nikiinjoi kwa kiasi kusikiliza mpila ukitangazwa na BBC SWAHILI,
Shida ni pale ninaposikiliza mpila kwa vituo vya bongo....
Tbc fm
1.hawa jamaa muda mwingi mtangazaji anatumia kumuuliza mwalimu kashasha atoe ufafanuzi huku mpila unaendelea
Na hiyo tabia hutokea kwa kila tukio/ shambulio
2.Mtangazaji anaharaka sana ya kutangaza goli , unaweza kusikia gooooooooooo, halafu akakwambia imetoka sentimita chache
3.Hawajiuingi kutangaza mpila on-time, wanachelewa kila siku
4.mtangazaji anasoma utabili wa mashabiki huku mpila unaendelea mf nifah
Radio nyingine za bongo huwa zinatangaza kama watu wanapiga stori huku mpila unaendelea
 
mi natafuta tv online nichek gem mpk dkk hii hovyo yan tz bdo sana tv online
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…