Unatakiwa uwe unatumia akili kidogo hizi mechi zinafanyika kwenye makundi aggregate inatoka wapi? Matokeo yalikuwa 0-0 huyo aliyesema tumefungwa labda alikuwa amekunywa viroba vya Gabon nasikia ni vikali balaaMu nliangalia, mpaka mwisho WA michezo ule Matokeo ni 0-0
Labda Matokeo ya jumla (aggregate) Kama yapo
Uwiiii umenichekesha sana hapo mwishoUnatakiwa uwe unatumia akili kidogo hizi mechi zinafanyika kwenye makundi aggregate inatoka wapi? Matokeo yalikuwa 0-0 huyo aliyesema tumefungwa labda alikuwa amekunywa viroba vya Gabon nasikia ni vikali balaa
Tunachekesha kidogo kuondoa stress Ndio utamu wa soka mkuuUwiiii umenichekesha sana hapo mwisho