Makamee
JF-Expert Member
- Nov 29, 2013
- 2,029
- 1,194
Leo ktk pitapita zangu nimekutana na Tangazo hili idara ya kazi Singida.
Mkurugenzi wa Halmashauri ya manispaa anawatangazia walimu wote wa shule za msingi na sekondari ndani ya manispaa waliotakiwa kwenda likizo ya malipo Mwezi December 2013,wafike ofisi za manispaa kuchukua nauli zao hakuna kuchukuliana.
SWALI,
1.Je hakuna njia nyingine rahisi ya kuwapa taarifa mpaka waanikwe hivi?
2.Je wahusika hawaoni hii inaweza kuwasababishia walimu usumbufu toka kwa jamaa na vibaka?
3.Je hawa walimu hawajulikani? Kama wanajulikana hawana akaunti za benk?
Tuache uzamani