Matangazo ya nini?

Makamee

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2013
Posts
2,029
Reaction score
1,194
Leo ktk pitapita zangu nimekutana na Tangazo hili idara ya kazi Singida.

Mkurugenzi wa Halmashauri ya manispaa anawatangazia walimu wote wa shule za msingi na sekondari ndani ya manispaa waliotakiwa kwenda likizo ya malipo Mwezi December 2013,wafike ofisi za manispaa kuchukua nauli zao hakuna kuchukuliana.

SWALI,
1.Je hakuna njia nyingine rahisi ya kuwapa taarifa mpaka waanikwe hivi?

2.Je wahusika hawaoni hii inaweza kuwasababishia walimu usumbufu toka kwa jamaa na vibaka?

3.Je hawa walimu hawajulikani? Kama wanajulikana hawana akaunti za benk?

Tuache uzamani
 
Watu wa type yako enzi zetu tulikuwa tunawaita 'much know'
 
Km jina lako limeanikwa hadharan na unaogopa usumbufu na vibaka kwa kuwakomoa halmashaur unaacha kwenda kuchukua pesa yako mana huwez chukuliwa hatua za kisheria
 
Ss nauli yenyewe bei gani basi?? Ya kizaman kweli hata elimu tunatumia ya kizaman ndo mana kila kitu cha kizaman bank umeanza kuijua lini??
 
kweli bana! huo ni udhalilishaji kwa waalimu! yaani wanakuwa kama 'MANAMBA' kumbe ni watu wenye taaluma zao! WATUKOME!
 
Je wakati wanaomba ruhusa za likizo, waliweka tangazo barabarani??? Hata muongozo hauruhusu mawasiliano ya kienyeji namna hiyo.
 
mim nafikir tangazo ni zur ila inategemea limewekwa sehem gan,kama limewekwa katika ofisi ya elimu hakuna tatizo kwa vile ni sehemu husika,kuhusu vibaka hata kama hawakuona tangazo wakiamua kukukaba watakukaba tu,jamaa zako kuwapa au kutowapa hela ni uamuzi wako mwenyewe.Vp mbona salar slip zimezagaa pale masjala tena wengine tunaona aibu kuzichukua kutokana na maden na kila mtu anaziona lakin hatulalamik,Vp majina yetu ya ajira yalivyoanikwa kwenye mitandao je hatukupata usumbufu kwa vibaka wa mitandao na jamaa wanaoujua kuwa sasa tumepata ajira?,nadhani kuna haja ya kufikiria nje ya box as a great thinkers.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…