Matangazo ya Redio yavutie kama la Ndooroboo weeh

N'yadikwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2014
Posts
7,427
Reaction score
10,905
Matangazo mengi ya redio siku hizi yamekuwa ya kawaida Sana angalau lile na Mangi Ndooroboo weeh lilikuwa na ubunifu na entertainment ndani yake kiasi likawa gumzo kwa wasikilizaji....

Achilia mbali redio Television pia siku hizi marketing agents mmelala mnaweka matangazo ya kawaida au yaliyo chini ya kiwango... matangazo yaburudishe kv enzi za chai jaba, jambo lotion nk...

Matangazo ili yauze zaidi yawe entertaining...ni ushauri tu marketing agencies
 
Mwenye audio ya lile tangazo la ndorooooobo aiweke hapa tafadhali.

Tangazo zuri sana lile
 
tangazo bata kuliko yote Kwa nusu mwaka 2018 ni lile la clous la kumleta werason la yule jamaa anaeburuza ile speeker kama begi la matairi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…