Matangazo ya Safari Automotive na ‘mkakati unaotia shaka’: Serikali chukueni hatua

Ex Spy

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2007
Posts
222
Reaction score
1,827
Wengi mtakuwa mmekutana na matangazo ya Kampuni hii inayomtumia mwanamke/binti akichezea ‘rungu’ la gari lakini matangazo haya yanayosambaa katika mitandao ya kijamii yakiendelea kushika kasi.

Si matangazo hayo tu, matangazo yao mengi yamekuwa na mwelekeo flani kwa kutumia mabinti (ambao huenda nao wanatafuta kula yao) lakini mwenye kuandaa matangazo haya anaelewa anacholenga kwa jamii ya Kitanzania.

Mchelea mwana hulia mwenyewe! Tusishangae huko mbele matokeo ya matangazo haya yakiwa too obvious na tukawa tumechelewa.

Mamlaka zichukue hatua mapema
 
Azam kawapiga fimbo sasa wamehamia kuhamasisha ngono
 
Weka kionjo tuone tujirishe na usemacho
 
Hahah, hata mimi nimeliona, anachezea kama unataka kunyonya mashine bhana
 
Wakishafungiwa ao mabinti wakajiuze ? bora wanavyopata ela kwa sasa kwakutumia uthubutu, creativity na sanaa !
 
Bongo sahvi bila kuingiza ngono ngono mambo hayaendi

Ova
 
Lile tangazo nikiliona feed yangu instagram. Huwa naona aibu mimi. Nashindwa kabisa kuliangalia..
Sijui mtu unaangaliaje lile.
Wanakosea aisee. Vingine tutetee vingine tuache.
Na wasiwasi wauza nguo wakaamua wafanye yao nao itakuaje?
 
Back
Top Bottom