CHIZI VITABU
JF-Expert Member
- Jun 12, 2021
- 1,061
- 2,477
Wafikishiwe ujumbe watarekebishaKurudi kipindi cha pili lazima zipotee tena dak 5 nyingine ,kwa ujumla tbc wanatutangzia dk 80 tu
nimewa miss ufm walikuwa wanatangaza poa sana hawa jamaa sijui kwa nini matangazo yao hawaanzi saa kumi kasoro kumiWafikishiwe ujumbe watarekebisha
sidhani kama wanahitaji promo yangu,ni vyema tbc wajirekebishe tu waendane na muda siyo kutangaza dk 80Mbona kama promo ya Ufm tu.
Wanayahamisha matangazo ya Mpira kwenda tbc fmNa hapo bado kukiwa na tukio la kitaifa matangazo yatasitishwa ili twende mubashara kusikiliza viongozi wetu wa nchi wanasema nini [emoji28].
Kwa kweli na miss sana Ufm kwenye kutangaza hizi mechi, bahati mbaya haya majamaa ya tbccm yameshinda tenda ya kutangaza ligi redioni...
Kumbe na Wewe umeliona hiliKwa kweli na miss sana Ufm kwenye kutangaza hizi mechi, bahati mbaya haya majamaa ya tbccm yameshinda tenda ya kutangaza ligi redioni..
kuna issue zimenibana recently mechi kama 4 nimesikiliza TBC redioni ninayosema ni kweli nimei miss ufm sasa kuna wengine wanasema nawapigia promo,promo ya nini wakati wale wana azam tv tena yale matangazo yalikuwa clear zaidi cha muhimu hapa tbc wajirekebishe tu maan hiyo miaka 10 waliyopewa ni mingi sana kwa kweli sijawakubali badoKumbe na Wewe umeliona hili
Yes niko dsm,sasa hivi hadi mwaka 2031 Tbc pekee ndiyo wenye haki ya kuatangaza kwa redio hii ligiSasa we upo Dar halafu unasikiliza TBC kweli?
Hiyo ufm inasikika wapi kama sio Dar na Zanzibar?
Kwa nini usiangalie kwenye TV?Yes niko dsm,sasa hivi hadi mwaka 2031 Tbc pekee ndiyo wenye haki ya kuatangaza kwa redio hii ligi
Hongera kwa ujasiri wa kusikiliza TBCKwa kweli na miss sana Ufm kwenye kutangaza hizi mechi, bahati mbaya haya majamaa ya tbccm yameshinda tenda ya kutangaza ligi redioni.
Yaani kwanza mechi zote lazima dakika 5 zinapotea kwenye matangazo sijui wanashindwaje ku balance muda, ikifika half time uchambuzi ni hovyo kabisa ukitoa Jesse John kwa kweli hao wengine ni huruma kabisa pengo la kashasha lipo kabisa.
Ambiance siyo nzuri kabisa hata quality huwezi linganisha na ufm kabisaaaa
Kurudi kipindi cha pili lazima zipotee tena dak 5 nyingine ,kwa ujumla tbc wanatutangzia dk 80 tu