Matango ni kichocheo cha afya kwa wanawake?

Didododi

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2023
Posts
347
Reaction score
465
Habari wanajamiicheck imekuwa ikisikika kwamba matango ni kichocheo cha uimara wa afya kwa wanawake. Tumekuwa tukishuhudia masokoni wadada walio wengi wakishupalia bidhaa hii na kuifanya hata iwe adimu sokoni.

Je wadau hasa wadau wa afya kuna uthibitisho wowote kuwa bidhaa hii ni kichocheo cha afya bora kwa wanawake kiasi cha kuifanya kugombaniwa na hata kuwa moja ya biashara inayolipa sokoni?
 
...SEMA TU Una lako unaiotaka kuuliza . ,, !! [emoji846][emoji846]...Tango ni tunda la Afya Kwa Wanawake na Wanaume.... hayo Mengine sijui !! [emoji1][emoji1][emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…