Matani

Hahahahha nimecheka na kukumbuka!
Unakichwa kikubwa mpaka ukilala wichi linakuja kukuinua.
 
Haha PEARL wewe sijawahi kukupatia yako:
Wewe umefulia mpaka wewe hushonewa nguo pocketless! teh teh teh...
mENTO KICHWA KIKUBWA MPAKA KUSIKITIKA HUWEZI.
 
Ati kwenu kuchafu hadi mende wanavaa slippers
 
duh ,umenikumbusha long tym
nlikuwa na zangu kama hizi nin nini twende..........nyumbani kwenu mpo wengi mpaka mtu akifungua mlango mnamwagika nje!!!!!!!!!!
Nini nini lione
mna dhambi mpaka shetani akiwaona anasema "jesus"
 
duh ,umenikumbusha long tym
nlikuwa na zangu kama hizi nin nini twende..........nyumbani kwenu mpo wengi mpaka mtu akifungua mlango mnamwagika nje!!!!!!!!!!
Nini nini lione
mna dhambi mpaka shetani akiwaona anasema "jesus"

Una ngozi ngumu mpaka wakati umetahiriwa ulikuwa referred kwa fundi wa viatu akushone!
 
Kha mmezidi sura ka mwiko

Huyu naye mshamba mpaka mara ya kwanza babako amenunua gari ulienda kuchungulia chini uone kkama ni male ama female!
 
kwenu maskini mpaka sebule mnakalia viti vya baiskeli
 
Hahahaha nimekubali Mentor!!!Mpenzi wako mweusi mpaka powder anayotumia inatokana na mkaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…