Matani

sura ka unajiandaa kupiga chafya!

hehehe! hapo unautani na Mama anna mkapa ila dah mkuu umemuweza ..mentor upooooo ??!!! inaelekea nyie wawili mlikuwa wagomvi sana enzi zenu
 
hehehe! hapo unautani na Mama anna mkapa ila dah mkuu umemuweza ..mentor upooooo ??!!! inaelekea nyie wawili mlikuwa wagomvi sana enzi zenu

duh kweli nyani haoni kundule..
we ni mbaya mpaka ukienda mbuga za wanyama nyani wakikuona wanakupa ndizi (instead ya vice versa!)
 
twende twende twende familia yenu wengi mpaka picha yenu ya familia inasema to be continued...

hahaha..wewe ni mweusi hadi ukipigwa picha inaandikwa 'scratch to reveal'..twende twende..

Wewe ni mweusi mpaka ukipigwa group picture wanakuandika jina pale ulipokuwa..
twende twende..
wewe ni mweusi mpaka...wewew!!!!!!
 
mfupi mpaka ukikaa juu ya ganda la kibiriti miguu haifiki chini......
 
mfupi mpaka ukikaa juu ya ganda la kibiriti miguu haifiki chini......

Mwangalie kwanza..una kichogo kikubwa mpaka ukiinamisha kichwa kwa nyuma kinaingia back pocket!
 
@Ng'anangwa, wewe ni mserious mpaka simu yako haina games!!!
 
Duh,kweli jina lako linaendana na yaliyomo kichwani,nimecheka!
 
Ayaaa...hilo ni tusi, wacha nikupe lako:
Wewe ni mbaya mpaka birth certificate yako ni apology letter from the condom factory!

binadamu tumetokana na sokwe lakini nadhani wewe hukutokea mbali sana nao!
 
Rose1980 , yaani wewe unangozi imekomaa mpaka ukikonyeza mguu mmoja unainuka!!!
 
Last edited by a moderator:
Preta we ngozi yako imeshikamana npaka ukikunja ngumi ukiwa umelala macho yanafunguka!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…