Matani

Huyo jamaa yuko wapi aisee?

Leo ndio nimeona hii thread ila jamaa ametisha aise, matani ya jamaa yote mapya ili hali wengine wanarudia yaliyokwishazoeleka.

Kiukweli nimecheka sana.
nikiona avatar yako nakumbuka muvi ya Blue Stuck kama sijakosea kwenye hiyo segment hapo polisi nilicheka hadi mbavu zikaniuma
 
nikiona avatar yako nakumbuka muvi ya Blue Stuck kama sijakosea kwenye hiyo segment hapo polisi nilicheka hadi mbavu zikaniuma
Blue streak.

Hapo jamaa alipeleka piza kituo cha Polisi ili asome ramani baadae aende naye kama Ofisa.
 
Blue streak.

Hapo jamaa alipeleka piza kituo cha Polisi ili asome ramani baadae aende naye kama Ofisa.
Naaaam hiyo hiyo nilichekavsana hapo aisee, kuna watu wanavipaji vya kutuchekesha sana
 
Nadhani utakuwa unatamani moderator wafute huu uzi wako wa enzi zako ukiwa mtoto. hahahahah. miaka karibia tisa tangu ulivyo u post.
 
Hivi wanazengo huu uzi mmeuona? nikijisikia kucheka huwa nakuja huku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…