Matani

thethetehe.. duh! kuna watu sio wa kuwachokoza duh!..
 
cheki hili nalo kwa kuvamia vamia tu....tumbo kubwa msosi kwa jirani

We HC ni mbaya mpaka unawafanya watoto vipofu walie, na pia mpaka mama wako kabla hajakunyonyesha lazima awe kalewa chakalii!:bump2::bump2:
 
We HC ni mbaya mpaka unawafanya watoto vipofu walie, na pia mpaka mama wako kabla hajakunyonyesha lazima awe kalewa chakalii!:bump2::bump2:

cheki hili nalo yaani zezeta mpaka likiangalia avatar ya rose linaona aibu!
 
Na wewe HC mwambie huyo rafiki yako Mentor alivyo mbaya mpaka madereva wanaweka picha yake ktk madirisha ya magari yao kama an anti theft device! unataka unataka unataka!....:smile-big:
 
Na wewe HC mwambie huyo rafiki yako Mentor alivyo mbaya mpaka madereva wanaweka picha yake ktk madirisha ya magari yao kama an anti theft device! unataka unataka unataka!....:smile-big:

unataka eenhee cheki hili nalo lina mhemko ka avatar ya finest
 
Na wewe HC mwambie huyo rafiki yako Mentor alivyo mbaya mpaka madereva wanaweka picha yake ktk madirisha ya magari yao kama an anti theft device! unataka unataka unataka!....:smile-big:

twende twende yaani we ni mchoyo wa thanks ka jf account ya rose
 
Jamanie, endeleeni kumimina. Najua mento (kule Moshi tunawaitaga vichaa hivyo) anaandaa mabomu zaidi
 
Hashy: wewe ni mfupi mpaka kukinyesha wewe ndo unakuwa wa mwisho kujua..
Dena Amsi: Hayaaa..nyinyi tv yenu ni local mpaka undertaker wa wrestling anaitwa Massawe
Loyal Citizen: Usimcheke mwenzio wakati na yenu ni ndogo mpaka watu wa kusoma habari wanachuchumaa ndo muweze kuwaona vizuri..
Raia fluani: Dada zako ni wabaya mpaka baba yenu ameandika kwenye geti, "Marry 1 get 2 free"..teh teh teh..
Katavi: Paka wenu ni mzee amebakisha siku moja awe simba..
Unata unataka...
Hashy: wewe ni mweusi mpaka ile siku ulizaliwa madokta walishtuka, "Yesu na Maria, kameungua..."
Twende twende..
Mwangalie kwanza, wewe ni mchafu mpaka ukilalia mashuka masafi unapatwa na homa!!!!
 
Jamani mtanifanya nipelekwe hospitali mwenzenu kwa kuvunjika mbavu taratibu eeehhh
 
Mentor una masikio mapana kama dishi la CTN.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…