Na wewe HC dada wako ni mbaya mpaka hahitaji mask wakati wa Halloween.
Castomoshi- kwenu ni masikini, wanene na hamna akili mpaka herufi pekee mnazozijua ni K.F.C
Swahilian- Wewe ni mnene mpaka ukienda kupima ktk scale inakuambia hapana mmoja mmoja tafadhali!:whoo:
Na wewe Lizzy dawa yako ipo jikoni!:gossip:
We Mentor makwapa ya mama wako yana nyele mpaka unadhani kamficha Bob marley huko
mtu ana sura mbaya hadi akicheka watoto wanalia
Hashy: mwone kwanza..ndo maana demu wako ni mnene mpaka badala ya kuvaa pencil jeans yeye huvaa marker-pen jeans!!!
Aspirin: wewe ni mjinga mpaka ulienda driving school boarding..
Mtu ana sura mbaya akitembea utadhani anarudi reverse
watu wengine bwana wamekomaa hadi wakitembea miguu inalia kama gari lililokongoroka
watu wengine bwana wamekomaa hadi wakitembea miguu inalia kama gari lililokongoroka
Pua kama chenza
Sina Mbavu mie jamani:teeth:
Sina Mbavu mie jamani:teeth:
maskia kama kiatu cha hashim