Kwakweli kazi ya mjinga kuumiaWajinga ndio waliwao....
Anasema FaizaFoxy.........
Watoayo matangazo hayo ni matapeli lengo ni kuwarubuni maiti( ng'ombe,MTU yeyote asieweza kujitambua) wengi sababu ya akili za kushikiwa utapeliwa.Freemasons hawashuguliki na MTU masikini hatawasaidia nn hawataki mizigo wala hawana Wakala wala hawatoi matangazo kupata memba