Kumezuka Biashara ya mayai ya kware hodi hodi mpaka maofisini Biashara hi ni sawa na DECI, ama Dollar jet kwa kifupi ni PYRAMID ni utapeli wa hali ya juu. Wajasiria mali wamekuwa wakibuni njia mbadala wa kujipatia kipato kwa njia danganyifu.
Miaka ya 90 mwishoni tuliletewa "NGOKWA ELEVEN" tuka papatikia sana kumbe yalikuwa ni maranda ya mbao(fine dust), ikapotea kimtindo, wakaja na Biashara ya mafuta ya UBUYU.
Wakaja na products za kutuuzia ALOVERA tukalishwa mpaka matawi ya minanasi pasi kujua, hawakuishia hapo wakaja na Mbegu za MILONGE, tuka ambiwa ni Dawa ya magonjwa yote ukiwemo huu.
Nawaonea huruma leo tena mnaletewa mayai ya KENGE na kuambiwa ya kware! Eti yana saidia na kudumisha ndoa kama yana dumisha ndoa hao kware si wange jaa Duniani kuliko oxygen? Wabongo Ankeni bana acheni uvivu.
Mimi nitakula hayo mayai nikisikia walio dunia ya kwanza nao wameingia kwenye huo mkumbo