A
Anonymous
Guest
Habari wanajamvi,
Kwa muda sasa Kuna mambo ya kitapeli hufanyika waziwazi bila matapeli hao kuchukuliwa hatua
Kwenye Kona mbalimbali ya jiji hili hususan karibu na maeneo ya stand kuu, Kuna watu huwa wanaofanya utapeli wa kitapeli watu Kwa kutumia michezo ya bahati nasibu kama kinga
For instance, Kuna wale unakuta wameweka vifaa mbalimbali kama TV's, sabufa, heaters na home appliances mbalimbali na kuwashawishi watu kucheza, wakati ni utapeli mtupu. Unakuta wanawake wengi ambao wanakupa part ya system yao ili wawatapeli watu eacpecially watu wageni(that's why wanakupa maeneo ya stand kama mbagala, temeke etc ambapo watu hutoka mkoan na kushukia apo)
Kuna njia nyingi hawa watu wamekua wakifanya utapeli the given example ni moja ya tactics zao among many
Naelewa kwamba ni uzembe mkubwa Kwa wanaotapeliwa Kwa kutokujua kua ni utapeli lakini hawa watu kiukweli wamekua wakiwaliza watu na kuhatarisha maisha ya wanaotapeliwa(imagine wewe ni mgeni alaf unatapeliwa all the money that you have)
Nashauri hawa watu wachukuliwe hatua wakionekana, am not sure kama game board of Tanzania wako awared nao ila we should stop this kuwasaidia wengi