matapeli wa mapenzi tanzania

na sisi wadada kwanini tunalazimisha mapenzi jamani? kwani ni lazima?
Kazi kwao wanaolazimisha,nikisoma alama za nyaka a kuona marue rue navua kiatu hata km ni bara baran,
Natembea peku mpaka nipate size yangu,mambo ya kulea mtu mzima ya nn ninao ndugu kibao moshi uko wana shida si bora niwalipie ada wenda wakanisaidia baadae.
 
heri nidhamini hata yatima kijijini huko asome wauza sura mimi no
 
na sisi wadada kwanini tunalazimisha mapenzi jamani? kwani ni lazima?

hujawahi kuyakosa mapenzi ndio maana huwezi elewa kwanini wenzako wanakua hivyo.lakini ukiyakosa miaka miwili mfululizo utawaelewa tu
 
Asante Smile tatizo kupenda ni upofu ...mwenzio ndo anaona raha anapotapeliwa
kama anaona raha kutapeliwa mbona huwa wanalalamika sana wakishatoswa????hakuna mtu anependa kulizwa kwenye swala la mali hata kama ana milions
 
Hapo kwenye red ngoja aje TaMuganyizi na Rweye watakujibu Smile..Kama yamekutata tupe live kama ni wewe.Jamaani wote makabila mliotajwa mlimtapli SMILE wa watu jamani?Sio vizuri.
 
Ni mada nzuri ila tatizo langu ni kwamba wewe umekuwa bias sana, tatizo hilo lipo pande zote ni vigumu kusema hawa ni zaidi ya hao ila utapeli upo.
 

Mbona mimi ninaowajua wote ni wachaga sasa !
 

na hisi wameshakutenda mwanadashosti na hapo ushapata cha kujifunza kila la kheli na search mpya ya mpenzi wa kiume..
 
Poleni sana dada zangu. Naamini watakusia na watajifunza kupitia mifano uliyoainisha hapa. Japo kusaidiana kupo lakini sio kupita kipato auk kizidi uwezo. Wapo wanaosaidiwa na wanajitambua na wanarudisha fadhila/kushehimu ukarimu. sio wote wanabweteka.
 

baadhi ya hayo makabila ya ombaomba ni yale ya yule matonya.........................ninashangaa dodoma haimo kwenye orodha ya ombaomba.........saidia masikini mie........
 
smile kwa hasira uliyo nayo, naona uliendwa

acha kumpakazia mwenzako.....................yeye kasema ya kuwa anazotaarifa siyo zake binafsi.................sasa huu uelewa mpya mwenetu umeutoa wapi?
 
Ni mada nzuri ila tatizo langu ni kwamba wewe umekuwa bias sana, tatizo hilo lipo pande zote ni vigumu kusema hawa ni zaidi ya hao ila utapeli upo.

binti akute ugali umeiva na umepakuliwa mezani khalafu abanduke.........sijawahi kuona hili.......
 

unakuwa umewekeza mtaji kwenye benki chapa mtu tatizo ni kuwa wakati mwingine hailipi................jamaa baada ya kuvuna huishia na kitu kipya ambacho hakuwa anakifahamu wakati alipokuwa na wewe.......................it is a tough World.........
 
Ama kweli nothing is black or white!
 
Hapo kwenye red ngoja aje TaMuganyizi na Rweye watakujibu Smile..Kama yamekutata tupe live kama ni wewe.Jamaani wote makabila mliotajwa mlimtapli SMILE wa watu jamani?Sio vizuri.

wahaya tunahaya sana ya kumbomu mtoto wa watu......yaani hiyo aibu uipeleke wapi na ni wazito sana kutoa ahadi hewa.....................we only speak wisdom...............
 
Yakinikuta ujue nimependa kufanya hivyo. . . hamna nnachofanya kwa lazima linapokuja swala la mahusiano.

ulazima ni pale umependa ndiyo shuruti yenyewe inakuja tena bila zengwe...................unajikuta unadaiwa na nafsi yako kujibu mashambulizi na hata pale hujaombwa kufanya hivyo ili mradi uwe na kipenzi wako....................lol.

kumbe penzi lenyewe lilikwishaota mbawa siku mingi njemba inahesabu siku tu kumalizia mradi wake......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…