Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Swali zuriUnawatafuta ili wakutapeli?
Ngoja nimchekiAskofu Mwamakula atusaidie
Mwamakula tangu aondoke Itunge na kwenda zake Kumbwani hakurudi tena,hao matapeli walihangaika na wamiliki wa nyumba na maduka.Ngoja nimcheki
Keta alisile ukunsyila unna, kangi nine nalipo pa afwaMwamakula tangu aondoke Itunge na kwenda zake Kumbwani hakurudi tena,hao matapeli walihangaika na wamiliki wa nyumba na maduka.
Hawa Jamaa walitumia ujanja na. ushirikina kutapeli wakulima n.a. wafanyabiashara
Mara ya mwisho niliacha kuwafuatilia nilipoenda Ulaya kwa masomo, niliporudi sikuwakuta
Kama Kuna mtu wa zamani wa Kyela humu anaweza kunisaidia
Hawa watu walitikisa mno
Kyela kwa utapeli Wao
Je walikufa Au walifungwa jela?
Walikosa wa kuwarithisha kipindi chao kikafungwa hivyo. Uovu uliishia kwao kutokana na kilio cha wazulimiwa.Hawa Jamaa walitumia ujanja na. ushirikina kutapeli wakulima n.a. wafanyabiashara
Mara ya mwisho niliacha kuwafuatilia nilipoenda Ulaya kwa masomo, niliporudi sikuwakuta
Kama Kuna mtu wa zamani wa Kyela humu anaweza kunisaidia
Hawa watu walitikisa mno
Kyela kwa utapeli Wao
Je walikufa Au walifungwa jela?
Wale jamaa walikuwa balaaWalikosa wa kuwarithisha kipindi chao kikafungwa hivyo. Uovu uliishia kwao kutokana na kilio cha wazulimiwa.
Waliumiza watu wengi sana.Walikosa wa kuwarithisha kipindi chao kikafungwa hivyo. Uovu uliishia kwao kutokana na kilio cha wazulimiwa.
Halafu walikuwa wakikamatwa wanaachiwa kirahisi sanaWaliumiza watu wengi sana.
Mwankenja na mwenzake walisumbua sana ni miaka ya 80.Keta alisile ukunsyila unna, kangi nine nalipo pa afwa
Naloli kangiMwankenja na mwenzake walisumbua sana ni miaka ya 80.
Keta nungwe tukwagana mufwa
Tuliaminishwa suti zao zina dawa,kila wakiongea walikuwa wanajitengeneza suti zao zikae vizuri,dakika sifuri watu walikuwa wana saini mikataba feki,hela zinatoka.Halafu walikuwa wakikamatwa wanaachiwa kirahisi sana
Loli ulinkulu fijo ugwe, kama unayajua haya ya zamani po. Uka nkekeTuliaminishwa suti zao zina dawa,kila wakiongea walikuwa wanajitengeneza suti zao zikae vizuri,dakika sifuri watu walikuwa wana saini mikataba feki,hela zinatoka.
Ilikuwa rahisi kuachiwa kutokana na ile mikataba ya mauziano pamoja na ushirikiano na wenye mamlaka wasio kuwa waaminifu