Matapeli wajitokeza wanajifanya wao ni loan board!

Matapeli wajitokeza wanajifanya wao ni loan board!

Hansy wa East

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2012
Posts
447
Reaction score
231
kuwa makini kama umefanya udahili maana kuna wa2 wanajifanya wao ni wafanyakazi wa Heslb hvyo wameiba contact za wa2 walioomba mkopo na kuanza kuwaambia ati hawaja2ma cheti cha kuzaliwa na ili wakusaidie unapaswa kuwa2mia alfu 21 kwa mpesa au tigo pesa au vocha so take care mdau!
 
Back
Top Bottom