Matapeli wanaotumia kigezo cha wahudumu wa Airtel

cumins

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2013
Posts
975
Reaction score
442
Nimepokea ujumbe unaonitahadharisha kufungwa kwa line yangu.

Na nikatumiwa namba ili nitume vitambulisho vyangu, jamani kuweni makini.

Details zako ndizo zitatumika kama njia ya kukutapeli.

Cha kuzingatia chunguza logo ya masage kutoka airtel, huwa inaanzia herufi kubwa na kufuatilia na ndogo.

Hawa matapeli logo yao ni herufi kubwa zote.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…