Matapeli wengine kwa walimu

Joined
Apr 8, 2014
Posts
60
Reaction score
18
+255753173104,+255685761742,0715590538,+255766783601 kama hayo manamba nayo yanamilikiwa na matapeli. Tazama majina yao unaweza kutana nayo sehemu yoyote ya utapeli. Mojawapo ni Honest Mgona lipo Dar.. Yanaangalia thread humu ,yanasoma nafasi za kazi yakikupata shida yako yanakutrick nje ya box... Ni mepesi sana kutaja jina la Mwenyez Mungu lakin hayamalizi dakika kukuletea topic ya hela ambayo Kila mtu anaitafuta... Wanjifanya wapo tamisemi dodoma,ofisi ya Rais Utumishi, au Mwalimu aliyehamishwa..
 
Ni kwel mkuu walishanipigia wakisema wapo ofisi za afisa elimu kinondon niwape laki 4 wanifanyie mpango wa uhamisho majanga snaa hao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…