Matapishi ya Ndugai na Magufuli yatatesa Bunge na Serikali

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
7,823
Reaction score
10,857
Serikali ina kula matapishi mabaya ya uchaguzi mbovu, kununua wabunge na kunyamyasa wapinzani. Lakini bunge nalo linakuwa matapishi ya Ndugai ya hawa Covid 19 ambao wanaharibu heshima ya bunge kiasi kwamba imekuwa the comedy many series.

Ushauri wangu kwa Rais Samia fanya vitu vyako wewe, ukifuata style ya Magufuli itakupeleka pabaya na hautakuwa na legacy ya maana hasa kwenye demokrasia

Bunge huyu mdada spika asipokuwa makini bunge litabaki kichekesho na kiki ya Serikali badala ya watunga sheria.
 
😅😅😅umeongea kama Makamba
 


Naona yametimia kwa Bunge kuwa kichekesho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…