inakuhusu nini sasa?Tatizo sio kuajiriwa, ni kufanya kaz. Uwe umeajiriwa au hujaajiriwa. Fanya kaz...
hahahah Nimependa Title ya hii Thread "Ujumbe kwa wana JF" naona kweli hapa watu wanapeana ujumbe yaani wameanza na Ukimwi, wamukuja Wachaga, wameingia kwenye mambo ya kuchati kazini na sasa naona Mkuu Teamo anatupeleka kwenye Li Series la 24:mad2:hivi hii series ya 24 ilisha kwisha?
mie hata kazi sifanyi nimerithishwa nyumba 4 na wazazi wangu moja iko Upanga nimepangisha wadhungu kazi yangu nikuingia net, kucheza pool na jioni ulabu pesa inaingia kila mwezi kama sina akili nzuri iga ufe
RED: Ngumu kumeza hiyo...!!!kuna option tatu,
1. acha kabisa (kama mimi)
2. kuwa na mpenzi mmoja
3. Tumia kondom
chagua inayokufaa kati ya hizo
umeona eeh!....hahahah Nimependa Title ya hii Thread "Ujumbe kwa wana JF" naona kweli hapa watu wanapeana ujumbe yaani wameanza na Ukimwi, wamukuja Wachaga, wameingia kwenye mambo ya kuchati kazini na sasa naona Mkuu Teamo anatupeleka kwenye Li Series la 24:mad2:
Kumbe wewe mchina?hahahahahaaaaaaaaNimepita tu kuchek jinsi waTz msivyofanya kaz...
hahaha usiniletee zile za makamba kupiga marufuku watu kwenda bar mchana.....watu wakamuuliza na sie tunaoingia shift za usiku "tunywe" sa ngapi akawa hana jibu:crying: lol!Tatizo sio kuajiriwa, ni kufanya kaz. Uwe umeajiriwa au hujaajiriwa. Fanya kaz...
inakuhusu nini sasa?
wengine hivi hapa navokwambia hapa yani ndo wako ''kazini''...!
we unadhani kazi mpaka uangalie mafaili?
hehehehe!yani homubooi navokwambia hapa yani naenda kupiga pakiti za valuu ili nije na kasi mpyahahaha usiniletee zile za makamba kupiga marufuku watu kwenda bar mchana.....watu wakamuuliza na sie tunaoingia shift za usiku "tunywe" sa ngapi akawa hana jibu:crying: lol!
Kumbe wewe mchina?hahahahahaaaaaaaa
kiongozi we naona unazeeka vibaya!....Najua wengine wapo kazini sawa, lakini hawafanyi kazi...
hivi hii series ya 24 ilisha kwisha?
hehehehe!yani homubooi navokwambia hapa yani naenda kupiga pakiti za valuu ili nije na kasi mpya
ok amumeona eeh!....
usimwambie mtu!
haya sasa niambie imeisha ile series?
hiyo ya nane mi sijaipata...!niliyonayo ina episode kama saba hivi!....mpaka sasa zimetoka seasons 8 so bado inaendelea.:focus:
Hakuna mwaminifu wote wanabanjua kwakificho kikubwa kuliko hata nyoka na paka wanavyokuwa wanavunja hiyo amri.Wakubaki nivichaa!!
kiongozi we naona unazeeka vibaya!....
ndo matatizo ya kuwa computer literate at your 40s!...
Mi mtanganyika...
wewe naona computer na mitandao vinakutia wazimu sasa!maanake unaleta komandi za kizee hadi kwenye maisha binafsi ya mtu!we kama una hiyo pawa wakoromee sabodineti wako ofisini kwako sijui,au kawakoromee wanao na mkeo...Kweli lakini, maana tupo tuliozaliwa BC na wengine wamezaliwa AC
BC= Before computers
AC= After computers
Wakoje vile?Nooo.WATANGANYIKA hawako hivo.wewe ni MDANGANYIKA!!!