Chief Kabikula
JF-Expert Member
- Jan 1, 2019
- 7,567
- 9,037
Mbaya zaidi tuna waziri wa fedha (ambae ni mwalimu wa uchumi kwa nadharia) na gavana wa benki kuu (ambae ni mwalimu wa sheria kinadharia pia). Hapa ni sawa na mtu alieharibikiwa gari lakini anatafuta mchunga mbuzi aje kumsaidia kulitengeneza.
Zambia ni midle income country? Hivi Gdp ya Zambia na Tz zikoje?
Mimi naomba kuuliza wale mlipo karibu na rais wetu mpendwa.Hivi anaposifiwa kuwa anachapa kazi sana huwa anajisikiaje? Je huwa anafanya tadhimini kujua matokeo ya hicho kinachoitwa uchapakazi?View attachment 1419049Hii ni kabla ya janga la Corona.View attachment 1419050
Typing error tu. Ninamaanisha per capita. Haya jibu swali Uchumi wa Zambia upo juu zaidi ya WaTz? Maana Gdp yao per capita ipo juu.Siwezi kukujibu tena wewe, maana unaongelea GDP per "capital" ambayo mimi siifahamu. Ngoja wajuvi wenzio watakusaidia unachokitaka.
Tumo humu Jamvini kupeana elimu maana Watz ni tuna umoja na uzalendo wa hali ya juu. We tiririka tu.Mkuu hapa naona unaomba darasa kabisa, utanilipa shilingi ngapi nikitumia muda wangu kukupa hiyo elimu?
Kumbe Kenya nayo ni Low-Income Country. Mbona wanapiga kelele sana za kujisifu hawa majirani?
Hivi wewe umesoma kweli hata form 1? Au ndio kizazi cha nyoka? Degree za makaratasi! Nominal Gdp ni Gdp from raw data kwa hiyo hiyo achana nayo. Zungumzia Real Gdp amabayo ndio inadetermine namna nchi inavozalisha bidhaa zake za ndani pamoja na services.Gdp per capita ni Real Gdp per each head. Na hii haitoi ukweli maana haikisi ukweli wa maisha ya watu. Mfano Gdp per capita ya Tz ni Usd 1000 sio kweli kwamba kila mtanzania anapata Usd 1000 kwa mwaka. Maana kuna mama wauza vitumbua hata kwa mwaka hawapati laki tatu. Kwa hiyo wewe unatakiwa urudi shule ukasome upya. Kutoa mfano wa nyumba mbovu ukiwa juu ya ndege inaonyesha ulivyo na upeo mdogo. Kuna mtu anakaa vingunguti lakini ana baa na daladala tano. Pato.lake kwa mwaka linamzidi hata mtu wa south Africa anaekaa kwenye vibanda vya mabati. Lakini nchi yake ina Gdp per capita kubwa. Degree lako la manzese nenda nalo huko tena umenitia kichefuchefu. Yaani Zambia Real Gdp Usd bil 27 na Tanzania Real Gdp 59 Usd alafu unasema Zambia ipo juu!Ndio!! Uchumi wa Zambia upo juu ya wa TZ! Lengo la ukuaji wa uchumi ni kila mtu awe na maisha bora. Hata wewe hapo ukipewa chaguo la nchi ya kwenda kuishi kati ya ile yenye high nominal GDP na yenye high GDP per capita utachagua high GDP per capita kila wakati. Kati ya Nigeria na Afrika kusini ni wapi ungependa uishi siku moja? Kati ya China na UK je? Mimi binafsi napenda high nominal GDP maana nchi inapata uwezo wa kufanya maendeleo ya vitu vinavyoonekana kwa macho ambavyo mimi ni shabiki wa vitu vya aina hiyo. Degrer yako ni ya kuokota. Hapa Tanzania maisha yapo tofauti sana huwezi kupima kwa kuangalia mapaa ya nyumba ukiwa kwenye ndege. Mtu anakaa uswahilini ana miliki dalaladala kumi utamlinganisha na Mzambia ati kisa Gdp per capita ni kubwa.
Ila ukitaka kuisikitikia Tanzania ambayo ni moja ya nchi kumi za Afrika zanye uchumi mkubwa wa nominal GDP, angalia anga la Dar es Salaam usiku unaporuka na ndege, utajionea huruma sana kama mtanzania. Hizi ni mada ndefu sana, nimekupa hints tu. Kasome pia Human Development Index utapata kitu kipya cha kujifunza pia.
Nominal Gdp ni Gdp from raw data, sina hata degree ila wewe ni bure kabisa. Eti nikipanda ndege naona mabati mabovu mabovu.Real GDP ni nominal GDP adjusted for inflation. Naona IQ yako ni ndogo sana. Sina haja ya kuendelea kujibizana na wewe. Ulipata degree kwa kudesa, akili yako ni ndogo sana π
ππππππππ mbavu jamaniMbaya zaidi tuna waziri wa fedha (ambae ni mwalimu wa uchumi kwa nadharia) na gavana wa benki kuu (ambae ni mwalimu wa sheria kinadharia pia). Hapa ni sawa na mtu alieharibikiwa gari lakini anatafuta mchunga mbuzi aje kumsaidia kulitengeneza.
Adjusted for inflation ndio linakuchanganya? Ndio maana nakuambia ni raw data,means hazijawa processed na kufanyiwa calculation.Nominal Gdp ni Gdp from raw data, sina hata degree ila wewe ni boya kabisa. Eti nikipanda ndege naona mabati mabovu mabovu.
Inategemea,unaweza ukawa nazo mia lakini kichwani hamna.For the record, sijasomea uchumi, nina degree za kutosha za eneo linalonifanya niwe na uelewa mkubwa wa mambo including uchumi. Nilitumia neno nominal bila kujali meaning yake nikitaka kutofautisha GDP per capita na total GDP ambayo inaweza ikawa nominal au real. Lakini nimekuachia ukumbi uendelee kutukana matusi members wengine.