MAMMAMIA JF-Expert Member Joined Feb 26, 2008 Posts 3,811 Reaction score 1,607 Jul 16, 2012 #1 Wakuu, naomba mnipe maana ya maneno hayo mawili - Matata na Matatizo. Baada ya kutoa maana, naomba mnsaidie tafsiri ya msemo "Hakuna matata".
Wakuu, naomba mnipe maana ya maneno hayo mawili - Matata na Matatizo. Baada ya kutoa maana, naomba mnsaidie tafsiri ya msemo "Hakuna matata".