The Watchman JF-Expert Member Joined Nov 7, 2023 Posts 2,186 Reaction score 4,940 Jan 13, 2026 #1 “Father Kitima siyo mshauri wa Chadema kama anavyosema Mchange, Uwezo wa Mchange wa kufikiri ni Mdogo hivyo mpuuzeni” Adv. Matata Your browser is not able to display this video.
“Father Kitima siyo mshauri wa Chadema kama anavyosema Mchange, Uwezo wa Mchange wa kufikiri ni Mdogo hivyo mpuuzeni” Adv. Matata Your browser is not able to display this video.
LOTH HEMA JF-Expert Member Joined Dec 6, 2015 Posts 29,814 Reaction score 47,414 Jan 13, 2026 #2 Amechukua nafasi ya kufanya propaganda kama musiba enzi za magu. Kila zama na mpiga zumari wake
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 46,405 Reaction score 138,158 Jan 13, 2026 #3 Dah! Mtu mzima kuambiwa una uwezo mdogo wa kufikiri, kunahitji tafakari ya kina sana kichwani mwako.
Kinoamiguu JF-Expert Member Joined Nov 29, 2018 Posts 17,499 Reaction score 25,295 Jan 14, 2026 #4 Tate Mkuu said: Dah! Mtu mzima kuambiwa una uwezo mdogo wa kufikiri, kunahitji tafakari ya kina sana kichwani mwako. Click to expand... mchange alienda chuo kuchukua masomo siyo kusoma masomo
Tate Mkuu said: Dah! Mtu mzima kuambiwa una uwezo mdogo wa kufikiri, kunahitji tafakari ya kina sana kichwani mwako. Click to expand... mchange alienda chuo kuchukua masomo siyo kusoma masomo